Kashinde Quotes Explanation
Word 2
Different between
manufacturers & Achievement, (Kuzalisha Sio Kufanikiwa, Kufanikiwa Ni Zaidi
Ya Kuzalisha)
Wakati watu wanakua femous kwa Ku(make) vitu
they like, Me na(try) kuwa famous kwa ku(achieve) vitu i like, Which is hurting
me sometimes!
Coz wanasema you don't get what you want, you
get what you deserve and I don't think if I deserve something which is not
mine, mwenye kustahili ni mmoja tu.
Ni rahisi ku(manufacturer) kuunda upuuzi
unaoutaka, Ila ngumu ku(achieve) coz achievement is more than desire, Unapaswa
kuzishinda hamu/tamaa za binti zako.
Sasa nimeelewa, Kilicho halisi kinaumiza,
Kilicho rahisi kinafurahisha, Am on right side kwa kuwa upendo ni maumivu na
upendo hauna mbadala, never doubt love.
Naishi kwenye Ulimwengu wa manufacturer's ambazo
wapuuzi wanaziita achievement's niwaulize wanaijua maana ya achievement coz
wanatengeneza badala ya kufanya.
Nawakumbusha imeandikwa ijapokua sijui nani
aliyeandika ila nipo upande wa aliyeandika kuwa "Mungu alimfanya mtu"
wao "wanamtengeneza mtu" Je? Niwasifu au niwatukane?
Wakati watu wanakua femous kwa Ku(make) vitu
they like, Me na(try) kuwa famous kwa ku(achieve) vitu i like, Which is hurting
me! Should I doubt me? Should I doubt love?
Because this is killing me!!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni